Salim Kikeke
yesterday at 19:21. Facebook
BBC DIRA YA DUNIA JUMANNE 28.02.2017
Salim Kikeke
yesterday at 15:32. Facebook
BBC Dira TV: Msimu wa mvua nchini Zimbabwe umesabisha kuharibika zaidi kwa barabara za Harare ambazo zilikuwa zimekarabatiwa. Barabara hizo sasa zimejaa mashimo kwa kiwango ambacho hakijashudiwa katika miaka ya hivi karibuni. Vijana wasio na ajira sasa wanaziba mashimo hayo kwa malipo kidogo. Je hatua hii inafaa na inasaidia kiasi gani? Tweets @Salym
Salim Kikeke
02/27/2017 at 22:10. Facebook
Matokeo EPL
Salim Kikeke
02/27/2017 at 19:14. Facebook
BBC DIRA YA DUNIA JUMATATU 27.02.2017
Salim Kikeke
02/27/2017 at 15:08. Facebook
BBC DIRA TV: Simu ya Nokia 3310 imezinduliwa upya miaka 17 baada ya uzinduzi wake rasmi. Wengi wanaiona simu hiyo kuwa nzuri kutokana na umaarufu wake na uthabiti. Je utakuwa tayari kuinunua tena simu hii? tweets @Salym

Simu ya Nokia 3310 yazinduliwa upya - BBC Swahili

bbc.com
Salim Kikeke
02/27/2017 at 13:07. Facebook
EPL Leo
Salim Kikeke
02/26/2017 at 18:24. Facebook
Manchester United washinda Kombe la Ligi
Salim Kikeke
02/26/2017 at 10:14. Facebook
Fainali Kombe la Ligi Leo
Salim Kikeke
02/25/2017 at 19:34. Facebook
Matokeo EPL
Salim Kikeke
02/25/2017 at 17:00. Facebook
Matokeo EPL
Salim Kikeke
02/25/2017 at 16:43. Facebook
Matokeo Bundesliga
Salim Kikeke
02/25/2017 at 05:46. Facebook
EPL Leo. Ulimwengu wa Soka itakutangazia mechi ya Chelsea v Swansea
Salim Kikeke
02/25/2017 at 05:22. Facebook
Hodi hodi Oman..
Salim Kikeke
02/24/2017 at 19:20. Facebook
DIRA YA DUNIA IJUMAA 24/ 02/ 17
Salim Kikeke
02/24/2017 at 12:33. Facebook
Droo ya UEFA Europa League
Celta Vigo v FC Krasnodar
Apoel FC v Anderlecht
Schalke v Borussia Monchengladbach
Lyon v Roma
FC Rostov v Manchester United
Olympiakos v Besiktas
KAA Gent v Genk
FC Copenhagen v Ajax
Salim Kikeke
02/24/2017 at 07:08. Facebook
Tetemeko la ardhi latikisa Tanzania na Zambia

Tetemeko la ardhi latikisa Zambia na Tanzania - BBC Swahili

bbc.com
Salim Kikeke
02/23/2017 at 23:22. Facebook
Matokeo UEFA Europa League
Salim Kikeke
02/23/2017 at 20:39. Facebook
Meneja wa Leicester City Claudio Ranieri amefukuzwa kazi, miezi tisa baada ya kushinda Ligi Kuu ya England.
Leicester wako pointi moja tu juu ya timu zilizopo hatarini kushuka daraja huku zikiwa zimesalia mechi 13.
"Bodi kwa uzito mkubwa inahisi kuna ulazima wa kubadili uongozi. Ingawa ni uamuzi mgumu lakini ni muhimu kwa maendeleo ya timu" imesema taarifa ya Leicester.
Ranieri, 65,...
View details ⇨
Salim Kikeke
02/23/2017 at 19:08. Facebook
BBC DIRA YA DUNIA ALHAMIS 23.02.2017
Salim Kikeke
02/23/2017 at 16:54. Facebook
BBC DIRA TV: Wanasayansi wa anga za mbali, wanaamini kwamba wamefikia hatua muhimu sana ya kuweza kupata maisha nje ya sayari ya dunia. Wanasayansi wa Kimataifa wamegundua sayari saba mpya zenye joto la kutosha kuwezesha maji kuwepo na unyevunyevu. Hii inamaanisha kwamba inawezekana kuanzisha maisha huko. Je ungependa kuhamia katika sayari mpya? Tweets @BBCDayoYusuf